Habari za Mastaa

THT ya Ruge imerudi kivingine, waingia makubaliano haya

on

Leo March 9, 2021 Nyumba ya vipaji THT imeingia makubaliano na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo TaSuBa ambapo watakuwa wakishirikiana katika kuvikuza na kuendeleza vibaji vya wasanii watakao kuwa wamepita katika taasisi hizi mbili.

Mdogo wa Marehemu Ruge Mutahaba, Kemi Mutahaba ambaye ni msimamizi wa THT ameeleza jinsi ushirikiano huo utakavyokuwa.

Bonyeza PLAY kutazama.

USIPITWE NA KILICHOJIRI KWENYE UZINDUZI WA FILAMU YA BINTI

Soma na hizi

Tupia Comments