Mix

Alichokiongea T.I kuhusu taarifa za kupeana talaka na mkewe

on

Kumekuwa na taarifa zilizosambaa kuwa T.I na mkewe Tinny wana mpango wa kupeana talaka kwa kile kilichosemekana kuwa bado T.I amekasirishwa na kitendo cha mkewe kucheza mziki na Mayweather ambaye ni  hasimu wake. Lakini pia baadae taaarifa zikasema kwamba Tinny ndiye aliyedai talaka kwa T.I kwa kile kilichosemekana kuwa amechoshwa na drama za mumewe.

T.I amezungumza kupitia interview aliyofanya na kituo cha radio streetz94.5 cha Atlanta na kusema kwamba yeye kuachana na mkewe haiwahusu ‘It’s none of your business’

#PressPlay #TI said he and #TinyHarris’ divorce is none of your business! Via: @streetz945atl

A video posted by The Shade Room (@theshaderoom) on

Video: T.I alifanya nini kabla ya kuondoka TZ? Ali kiba Fiesta 2014? Mall ya Mwanza?>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

 

Tupia Comments