Ajali

PICHA 10: Maziko Kagera ya Mwalimu aliyefariki ajali Arusha

on

May 9, 2017 mwili wa aliyekuwa Mwalimu wa Shule ya St. Lucky Vicent, Arusha, Innocent Papian aliyefariki akiwa na umri wa miaka 25, umezikwa nyumbani kwao Kagera kwenye kijiji cha Nyakatete, Kata ya Mabira, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera.

millardayo.com na AyoTV zilikuwepo na hivi ndivyo ilivyokuwa.

VIDEO: Vilio na huzuni… miili 32 ya Wanafunzi na Waalimu ilivyoagwa Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments