Habari za Mastaa

TID kaongea “Harmonize siyo chawa, sina tofauti naye, nimefurahi kuongea na Q Chila”

on

Msanii TID amezungumza kuhusu kumaliza tofauti yake iliyokuepo kati yake na msanii mwenzake Q Chila na kuweka sawa kuhusu kauli aliyowahi kuizungumza ya kumuita Harmonize ‘Chawa’ ambapo TID amesema kwanza amefurahi kuzungumza na Q Chila.

Bonyeza PLAY kumtazama TID akielezea.

VIDEO: Q Chila kampa makavu TID ”Asimuite mwanangu chawa, bado hayajaisha”

Soma na hizi

Tupia Comments