AyoTV

VIDEO: ‘Sidhani kama ni wakati wa kukataa ukweli haihitaji hata kwenda chama kingine’-TID

on

Ikiwa Leo March 15 2017 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda anatimiza mwaka mmoja akiwa kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amekutana na wadau mbalimbali wa mkoa huo kwa ajili ya kutathmini mambo mbalimbali, Kati ya waliopata nafasi ya kuzungumza ni mwimbaji kutoka Bongoflevani, TID, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: “Mnyama nimeamua, inabidi uwe mnyama kama Makonda” – T.I.D, Bonyeza hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments