Mix

Kama unasoma IFM, UDSM, CBE-Dar, Utumishi Mtwara au Mzumbe Morogoro.

on

Kuanzia wiki hii nimekua nikikuunganisha na mpango mpya wa Ki-VIP kutoka @tigo_tanzania pale ambapo Wanachuo wanatakiwa kushindani nafasi ya kuchukuliwa ki-VIP na kupelekwa mahali pa nguvu… washindi wa mwanzo wamepatikana tayari, Grace Jasson-CBE Dar, Glady Joseph Sato-IFM Dar, Keneth wello-chuo cha Utumishi – Mtwara, Mzumbe Morogoro ni Gladis Aswile ambao bata lao laVIP ni wiki ijayo.

IFM, UDSM, CBE-Dar, Utumishi Mtwara na mzumbe Morogoro.. watu wa nguvu kwenye hivyo vyuo wanayo nafasi ya kuwa treated kiVIP na tiGO hivyo cha kufanya ni kufika kwenye gazebo la tigo chuoni kwako na ununue line ya tigo 4G au ununue simu, uunganishwe kwenye kifurushi cha chuo au lipia bidhaa kwa tigo pesa.
range 2

Baada ya hapo utaingia kwenye droo ya kuchaguliwa na upate nafasi ya kuwa treated kama vip na tigo, Tigo itakuchukua na gari kali kwa raha zako na kukupeleka mahali pa nguvu.. #TiGOUniversityVIP

Soma na hizi

Tupia Comments