Michezo

Maradona kapata mapokezi ya kishujaa Newells

on

Legend wa Argentina Diego Maradona amezichukua headlines tena kutokana na style yake ya kuongoza timu yake ya Gimnasia dhidi ya Newells Old Boys aliyowahi kuichezea.

Katika mchezo huo ambao Gimnasia anayoifundisha Maradona ilishinda 4-0, Newells aliowahi kuitumikia miaka 1993 ilimuandalia kiti maalum cha heshima Maradona na akiongoza akiwa kakalia kiti tofauti na staff wake.

Hiyo ikiwa ni heshima kwa nguli ambaye amerudi nyumbani lakini amerudi katika klabu yake ya ujana licha ya kurudi akiwa na timu pimzania., ila Maradona pia alikuwa anasherehekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake.

Soma na hizi

Tupia Comments