Habari za Mastaa

Tinashe anaisogeza nyingine kutoka kwenye Album yake mpya; ‘Party Favors’ – (Video)!

on

Baada ya kuweka headlines kubwa na single ya Player (feat. Chris Brown), msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Tinashe amerudi na nyingine kubwa kwa ajili yako weekend hii.

Wimbo unaitwa Party Favors na single hii pia itapatikana kwenye Album mpya ya Tinashe, Joyride inayotegemea kuwa sokoni January 2016. Wimbo wa Player bado unaendelea kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za countdown Marekani ikiwemo pia kwenye chati ya Billboard 200.

TINASH1

Official music video ya Party Favors ipo hewani tayari na japo kuwa Young Thug ndiye aliyefanya feature kwenye audio version ya wimbo huu, kwa bahati mbaya kwenye video hii Young Thug haonekani.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments