AyoTV

VIDEO: Mtoto Aitham anatambua kutenguliwa kwa Nape Nnauye

on

Mtoto Aitham Maafudhu ambaye video yake ilisambaa miezi 6 iliyopita akitaja majina ya viongozi mbalimbali, leo March 23, 2017  katambua pia uteuzi wa Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe na kuwataja baadhi ya viongozi wengine wa kimataifa.

Video yake nimekuwekea hapa chini tayari..

VIDEO: Sababu za January Makamba kuamua kukaa kimya kwenye Mitandao ya kijamii 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments