Duniani

PICHA 10: China wameanza kuitengeneza meli inayofanana na TITANIC

on

Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York.

Leo ikiwa ni takribani miaka mia na nne ‘104’ imepita tangu meli hiyo izame, China wameamua kujenga meli inayofanana na Titanic, habari kuhusu meli hiyo imewashangaza raia wengi wa China baada ya ujenzi huo wa meli hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269  kuanza.

Meli hiyo ya China, itakuwa yenye umbo sawa na ile ya Titanic, itakuwa na sehemu ya michezo, maonyesho, kuogelea na sehemu maalum ya watu maalum ambayo itakuwa na mtandao wa Wifi na inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika eneo hilo la theme park lililoko kilomita kadhaa kutoka pwani ya China.

3ae2be1700000578-3987472-image-m-5_1480542821761 3ae2be7800000578-3987472-image-m-6_1480544007987-1 3ae2bf2400000578-3987472-image-m-4_1480542777300

kk

Meli ya Titanic mwaka 1912 ilipokuwa ikifanya ikitoka Southampton ikielekea NewYork

kkkkk

Ujenzi huo wa meli hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa katika hifadhi iliyoko mashambani, katika mkoa wa Sichuan

 

29591a1300000578-3110674-image-a-2_1433411971198

Chakula kitakachotolewa kwenye meli hakitatofautiana na kile ambacho kilitolewa Meli ya Titanic 1912

29591a3200000578-3110674-image-m-5_1433412051272

.

2959190100000578-3110674-image-a-3_1433411975748

Chumba cha gharama zaidi kitakuwa ni Yuan 100,000 , sawa takribani Tsh 31,521,912

29591a0000000578-3110674-image-a-9_1433412090567

Source: Daily Mail, CNN

PART 1: Mfungwa mtanzania aongea kwa simu kutoka gerezani China, Bonyeza Play hapa Chini kusikiliza 

AUDIO: Mfungwa Mtanzania gerezani China ampigia simu Millard Ayo, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments