Habari za Mastaa

PICHA & VIDEO: Dalili za Tiwa Savage kuwa amesaini Roc Nation ya Jay Z

on

Zile tetesi za Msanii Tiwa savage kutoka Nigeria  kusainiwa katika label ya Roc Nation ya Rapper Jay Z zaweza kuwa sio tetesi tena, hiyo inatokana na Tiwa Savage pamoja na Manager wake Don Jazzy wa Mavin Record kupost katika kurasa zao za Instagram, picha inayoashiria kama ule mpango wa kusaini umetimia.

ASTEA

Hii imetokea siku chache baada ya Rapper Wale kusema alishawahi kumpendekeza Wizkid kusainiwa kwenye record label ya Roc Nation katika moja ya Interviews alizowahi kuzifanya.

Mavin x ROC

A video posted by DONJAZZY ?? (@donjazzy) on

Kama kweli Tiwa Savage atakuwa amesaini Roc Nation atakuwa ni msanii wa kwanza wa kike  kutoka Africa kusainiwa chini ya record label hiyo kwani yupo Rapper Wale ambaye ni Raia wa Marekani lakini ana asili ya Nigeria.

KAMA ULIIKOSA HII YA ALIKIBA KUSAINI MKATABA NA SONY MUSIC WORLD WIDE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments