Habari za Mastaa

Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)!

on

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa mara nyingine tena.

Album yake mpya RED ipo mtaani tayari ikiwa na ngoma nyingi kali pamoja na hii mpya; African Waist (feat. Don Jazzy) ambayo first lady wa Mavin Records anaisogeza kwetu official music video ya mdundo huo mpya.

vage2

Kama hujakutana nayo hizi ni dakika nne za ujio mpya wa Tiwa Savage.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.


Soma na hizi

Tupia Comments