Habari za Mastaa

Wale wa Tiwa Savage,nafasi hii itumie kutazama video yake mpya

on

.

.

Mwimbaji wa kike kutokea Nigeria,Tiwa Savage ameachia video mpya ya single yake ‘My Darling’ iliyotayarishwa kwa ushirikiano wa Don Jazzy na Baby Fresh chini ya Mavins Records.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

 

Tupia Comments