AyoTV

FILAMU: Tazama dakika 25 za movie mpya ya Tajiri Mfupi aliyemzimia Mrembo Batuli

on

Ndani kaigiza RayVicent Kigosi‘ Batuli na wengine akiwemo Tajiri Mfupi mwenyewe ambaye anakabidhiwa kampuni kubwa yenye pesa na wakati huohuo anavutiwa kimapenzi na mrembo Batuli, muuza vitenge majumbani kwa kutembeza….. tazama hiki kipisi cha movie hapa chini.

https://www.youtube.com/watch?v=HVNCuBaQn80

ULIKIKOSA KIPISI CHA TAMTHILIA YA MAHUSIANO CLOUDSTV? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments