Top Stories

TAKUKURU kumchunguza Mkurugenzi alietumia gari ya ofisi kwenda kwao (+video)

on

TAKUKURU Mkoani Kigoma imeeleza kumfanyia uchunguzi aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Dr. John Shauri Tlatlaa kwa tuhuma za ufujaji wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka yaliyoisababishia Serikali hasara ya zaidi ya shilingi Million 2.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa TAKUKURU Mkoani Kigoma Raphael Mbwambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya ripoti ya shughuli za TAKUKURU kwa kipindi cha mwezi April hadi Juni 2019.

LIVE: LUSINDE AWASHUKIA VIKALI NAPE NA KINANA, LUGOLA MKAMATE UMHOJI

Soma na hizi

Tupia Comments