Mix

PICHA 15: Naibu spika Dk. Tulia na watu wake Mbeya kwenye siku ya kwanza ya ngoma za jadi

on

October 7 2016 Naibu spika wa bunge la Tanzania Dk. Tulia Ackson ameanzisha mashindano ya kuenzi tamaduni za jadi aliyoyapa jina la Tulia traditional dances festival 2016 ambayo yamefanyika katika viwanja vya Tandale, Tukuyu Mbeya ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala.

Lengo kuu la kuanzisha mashindano hayo ni kuenzi tamaduni asili za Tanzania na kuzirejesha kwa jamii ili kusaidia kujenga utambulisho wa mtanzania katika ulimwengu wa sasa.

Hapa ninazo picha 15 namna Naibu spika Dk. Tulia na watu wake walivyoshiriki katika uzinduzi huo…

img_2579

.

img_2567

.

img_2562

.

img_2557

.

img_2533

Baadhi ya wananchi wakishuhudia ngoma za jadi

img_2399

.

img_2373

.

img_2364

Naibu spika Dk. Tulia akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala

img_2344

Naibu spika Dk. Tulia akimkaribisha uwanjani balozi wa Kenya

img_2335

.

img_2321

Baadhi ya washiriki wa ngoma za jadi

img_2315

Naibu spika Dk. Tulia akicheza

img_2311

img_2305

Naibu spika Dk. Tulia akishirikiana na baadhi ya wabunge kucheza ngoma za jadi

ULIKOSA HII YA NAIBU SPIKA DK. TULIA KUTANGAZA KUIENDELEZA JADI

Soma na hizi

Tupia Comments