AyoTV

Kutana na mgombea Urais 2015 kutoka chama cha TLP na alichosema kwenye hii video

on

DSC_9336Ni mwaka 2015 na headlines zake za uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam kuchukua fomu za kuwania Urais ambapo Macmillan Lyimo wa TLP ni mmoja wao, unaweza kutazama maneno yake hapa chini kwenye hii video.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments