Top Stories

Safari ya Mgombea Urais wa TLP alivyorudisha Fomu zake Ofisi ya Tume ya Uchaguzi NEC leo ..(Picha)

on

.

.

Ni mwaka 2015 na headlines zake za Uchaguzi Mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika kwenye Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dar es Salaam kurejesha fomu za kuwania Urais ambapo Macmillan Lyimo wa TLP ni mmoja wao.

Hizi ni baadhi ya picha za mgombea wa Urais Macmillan Lyimo.

.

Mgombea Urais kutoka chama cha TLP, Macmillan Lyimo alipofika Ofisi za NEC.

.

Mgombea Urais kutoka Chama cha TLP, Macmillan Lyimo.

.

.

Mwenyekiti wa Tume ya NEC, Jaji Damiam Lubuva akipitia Fomu hizo baada ya kuzipokea kutoka kwa Mgombbea huyo.

.

.

Macmillan Lyimo akitoka nje ya Ofisi za NEC baada ya kuwasilisha Fomu zake.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments