AyoTV

VIDEO: Tundu Lissu alivyohutubia kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa kuongoza TLS

on

Mwanasheria Tundu Lissu ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’.
Katika uchaguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa kimataofa wa mikutano wa Arusha ‘AICC’ Lissu alitangazwa mshindi kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa.

VIDEO: Matokeo ya Urais wa TLS yalivyotangazwa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments