AyoTV

VIDEO: Kinachoendelea kwenye mkutano wa Mawakili wa Tanganyika Arusha

on

Wakati ukisubiria uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika utakaofanyika kesho jijini Arusha, Leo March 17 2017 wanasheria hao wamekutana Arusha ambapo Rais wa chama hicho, John Seka amesema wanafanya majadiliano na serikali kuhusu tishio la kufutwa kwa Chama cha Wanasheria lililotolewa na serikali. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: “Tuunganishwe kwenye ile kesi kama wadaiwa, tutainunua ile kesi”-Tundu Lissu, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments