Top Stories

BREAKING NEWS: Maamuzi mapya kuhusu matokeo ya uchaguzi Zanzibar 2015

on

Matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar yamefutwa ambapo moja ya sababu za kufutwa kwa matokeo hayo ni pamoja na ukiukwaji wa taratibu na sheria ikiwemo Mgombea wa C.U.F kujitangazia matokeo.

Via AzamTV

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments