AyoTV

Waziri wa TAMISEMI awapiga mkwara wakuu wapya wa mikoa

on

March 15 2016,  Rais John Pombe Magufuli aliwaapisha Wakuu wa Mikoa wapya huku akitoa siku 15 kwa Wakuu wa Mikoa wawe wamesimamia na kuondoa watumishi hewa na pia kuwakamata vijana wote ambao hawataki kufanya kazi kwa kuwapeleka katika kambi maalum ili wakalime.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene march 16 2016 amekutana na Wakuu hao wa Mikoa na kuwapa mikakati na miongozo ya kiutendaji katika majukumu yao mapya hasa katika kuchukua hatua kwa watendaji wazembe mikoani.

Unaweza kutazama hii video hapa chini kuipata full stori ilivyokuwa…

Ilikupita hii Video ya gesi iliyogunduliwa Bonde la Ruvu itazama hapa…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments