Habari za Mastaa

VideoMPYA: Nyingine aliyoshirikishwa Walter Chilambo kutoka bongoflevani

on

Kulitokea Headlines nyingi baada ya msanii Walter Chilambo kutangaza rasmi kuacha bongo fleva na kufanya muziki wa gospel, time hii amesikika kwenye wimbo mpya wa bongo fleva ambao ameshirikishwa na Msanii Tommy Thomas wimbo unaitwa Twende.

Bonyeza Play hapa chini kuitazama kisha usisahau kuniachia koment yako naye Tommy ataipata…

Miaka 15 ya Q Chilla kwenye game ya Bongofleva

Soma na hizi

Tupia Comments