AyoTV

Video ya Polisi mtaani kwa Tundu Lissu leo baada ya kumkagua

on

Kutokana na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kushikiliwa na Polisi kwa tuhuma za makosa mawili ambayo yametajwa na CHADEMA wenyewe kuwa ni kusema makosa ya rais hadharani pamoja na uchochezi kuhusu kushikiliwa ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 nchini Canada.

Polisi leo walikwenda nyumbani kwa Lissu Dar es salaam na kupekua kama ilivyo kawaida kwenye kazi yao  wakiwa na gari aina ya Land Cruiser huku Lissu akiwa kakaa mbele pembeni ya Dereva, hii video hapa chini imechukuliwa mtaani kwa Lissu.

VIDEO: Sumaye afunguka kuhusu kunyang’anywa mashamba yake na Serikali, hii video hapa chini ina kila kitu

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete nyumbani kwake, ‘NANENEPA SIKU HIZI, MLIKUA MNANI MNANIFUJA”

Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo’ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments