AyoTV

VIDEO: Tundu Lissu kawasilisha maoni haya kuhusu Serikali ya Rais Magufuli

on

Mei 5 2016 Msemaji mkuu wa kambi ya upinzani na Waziri Kivuri wa Wizara ya Katiba na Sheria Tundu Lissu alikuwa akisoma mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 huku akigusia zaidi katika suala la Uongozi bora na maadili ya kazi.

Kwenye hizi dakika zake mbili unaweza kumtazama akizungumza bungeni… 

ULIIKOSA HII BAADA YA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA MAREKANI MTOTO GETRUDE KAKARIBISHWA BUNGENI DODOMA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments