on air with millardayo

On Air: Tunda Man na Madee hawakukubali nijiunge na WCB’ Rayvanny

on

Kwenye On Air With Millard Ayo leo April 27 2017 Rayvanny ameeleza jinsi alivyokutana Diamond na ilikuaje alivyotoka TipTop Connection kujiunga na WCB ya Diamond Platnumz

Haikuwa raisi mimi kujiunga WCB maana Madee na Tunda Man walisema mimi naitwa Raymond Tip Top kwanini leo nitokea kama WCB na sio Tip Topila nashukuru Diamond alimuelewesha Madee mambo yakaenda sawa‘>>> Rayvanny

Ulimiss hii Good news: G Warawara kufuata nyayo za Jux itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments