Mix

Picha 24 za Team CloudsFM na wasanii wa bongofleva walivyofanya usafi soko la Tandale Dsm

on

Leo ni mwendo wa hashtag za #UsafiDAY mtu wangu wa Facebook, Insta na Twitter !! Agizo la Rais Magufuli limetekelezeka kwa asilimia kubwa sana.

Kuna wakati Dar ilitakata kwa sababu ya ugeni wa Rais Obama, watu wakasema kumbe usafi inawezekana !! Rais Magufuli nae akatangaza kwamba badala ya kukutana Uwanja wa Taifa kusherehekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanzania, basi tukutane mtaani.. nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa mpaka kieleweke…

IMG_8048

Rais Magufuli alikuwa na watu wa Feri kuhakikisha lile eneo la soko pale Feri panatakata, halafu Mama Samia Suluhu, DC Paul Makonda na wasanii wa Bongo Movie waliikamata mitaa ya Kinondoni, mzigo mwingine huu hapa wa Team Clouds FM na wasanii wa Bongo Fleva walivyowajibika kusafisha mitaa ya Tandale.

Kazi haikuwa ndogo, kuanzia sokoni, majumbani, mitaroni na kona nyingine za Tandale usafi umehusika.

IMG_8081

Team ya Clouds FM, Mbwiga mwenyewe, Musa Hussein na Da-Hu

IMG_8085

Kila mtu alianza kwa kukamata fagio ili twende sawa !!

IMG_8094

Ummy Kitwana na Mbwiga

IMG_8127

Husna Abdul wa Leo Tena akifanya Interview na msanii Tunda Man wa Tip Top connection

IMG_8128

Dj Bullah, Jose Mara, Mbwiga na Mussa Hussein

IMG_8131

Watu wa nguvu kazini

IMG_8185

Watangazaji Perfect Crispin (mwenye kofia ya bluu) Dee Andy kutoka XXL ya CloudsFM, Dj Bullah, Mahija Zayumba wa CloudsTV na watu wa nguvu wengine kwenye usafi soko la Tandale

IMG_8222

Msanii Tunda Man kwenye usafi

IMG_8236

Mrembo Tira wa CloudsFM na watu wengine wa nguvu kwenye kazi ya usafi

IMG_8257

Mwenye miwani ni Emmanuel Likuda wa Jahazi la CloudsFM

 IMG_8060 IMG_8086 IMG_8092 IMG_8122 IMG_8133 IMG_8140 IMG_8147 IMG_8151 IMG_8159 IMG_8164 IMG_8173 IMG_8191 IMG_8209

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments