Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti leo May 15 2016, kila siku huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
#NIPASHE Mgonjwa aliyekuwa akipelekwa kwenye mashine ya kusafisha figo anasa kwenye lifti Muhimbili saa nzima pic.twitter.com/nznMGlEJAe
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#NIPASHE Bunge limetenga fungu kwa ajili ya kuwawezesha wabunge kupata mafunzo ya uendeshaji bora wa bunge nje pic.twitter.com/RwXpDL1JWg
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MAJIRA Serikali yasitisha ubomoaji nyumba mabondeni, lengo ni kufanya tathmini na kupitisha sheria mpya pic.twitter.com/fBw8whiCA5
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
Wachumi wapinga utaratibu bei elekezi, TFDA nao wasema hawana vibali vinavyosubiriwa na wafanyabiashara wa sukari pic.twitter.com/tcgyOFSIbH
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MWANANCHI Wizara ya Fedha imewatema wafanyakazi 170 kati ya 565 walioachishwa NIDA baada ya uhakiki wa malipo yao pic.twitter.com/6BgQ7FeCTv
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MWANANCHI Sakata la watumishi hewa, waliobainika wadaiwa kuhama katika vituo vyao vya kazi na wengine wapo masomoni pic.twitter.com/C4NVdHLjIX
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MWANANCHI Serikali imekusanya bil 1.3 baada ya kupiga mnada madini yaliyokamatwa wakati yakitoroshwa nje ya nchi pic.twitter.com/W6wNs1gLJc
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MWANANCHI Wakazi wa Karansi, Siha K'njaro kuwaadhibu viboko 70 watakaovaa sketi fupi na suruali chini ya kiuno pic.twitter.com/LFZ0XUX9eD
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#MWANANCHI Takukuru Shinyanga kwa kushirikiana na polisi imemkamata mjumbe feki wa tume ya kuhakiki watumishi hewa pic.twitter.com/7gP28RvXZx
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
#NIPASHE kamanda wa kikosi cha usalama barabarani, Mpinga ametaka magari ya jeshi kuacha kutumia barabara za Dart pic.twitter.com/HOHEygkWuU
— millardayo (@millardayo) May 15, 2016
ULIKOSA HUU UJUMBE WA ZITTO KABWE KWA WAZIRI NAPE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE