Habari za Mastaa

Naambiwa na hii ni movie nyingine mpya ya bongo ya kutazama mwezi huu

on

Screen Shot 2014-05-07 at 1.04.02 AMKatika movie nilizowahi kuzitazama na kumkuta Jaqueline Wolper ni ile ya JB ya Taxi Driver ambayo kila alieiona na kunipa maoni yake aliniambia Wolper kacheza kiuhalisia sana mle ndani, yakiwa ni sawa na maoni yangu.

Kuanzia pale ndipo nilianza kumfatilia sana Wolper na hata leo nimekutana na hii nikasema nitawajulisha watu wangu on millardayo.com manake kwenye kumbukumbu zangu sijawahi kumuona J akiwa kwenye movie moja na hivi vichwa vya hii mpya ya ‘TomBoy’

Naambiwa imeshaanza kupatikana kwenye duka la movie za kibongo karibu yako so ukishachukua nakala yako na kuitazama naomba usisite kunijulisha mtu wangu kupitia twitter instagram na facebook kwa jina la @millardayo

Tupia Comments