Videos

VideoMPYA: Matonya anatualika kuitazama video yake mpya ‘Hakijaeleweka’

on

Ni headline nyingine tena zinasogezwa kwako time hii kutoka kwa star kutoka bongoflevan Seif Shaaban maarufu kama Matonya ambaye ametusogezea mdundo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Hakijaeleweka

Video yake tayari nimekusogezea hapa chini.. na ukimaliza kuitazama naomba niachie comment yako kuhusu ujio mpya wa Matonya ili baadae yeye mwenyewe apite kuzisoma.

Majibu ya Matonya baada ya kuachia mdundo wake wa ‘Sugu Benchi’

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments