AyoTV

TOP 5: Samatta anaondoka UEFA Champions League na rekodi hizi

on

Mbwana Samatta baada ya kuweka rekodi ya kufunga goli katika uwanja wa Anfield akiwa ndio mtanzania pekee kuwahi kufanya hivyo, kuna mambo mengi anayaacha katika historia ya soka la Tanzania kwa kufunga goli hilo katika michuano ya UEFA Champions League, Bonyeza PLAY kufahamu

VIDEO: BAADA YA KUFUKUZWA AYO TV IMEMFUATA ZAHERA KWAKE “SIJAPEWA BARUA”

Soma na hizi

Tupia Comments