Habari za Mastaa

Top 20: Midundo 20 Mikali ya wiki iliyosikika Clouds FM April 23

on

April 23 2017 kupitia Clouds Fm imeruka midundo 20 ya wiki ambayo millardayo.com inakupa nafasi ya kuweza kufahamu na kujua nani kapanda, nani kashuka na lipi ingizo jipya kwenye chati hiyo.

Chati ya wiki hii ingizo jipya ni wimbo wa Jason Derulo feat. Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla  ambayo imeshika nafasi ya 20 kwenye chati ya wiki hii, wakati ingizo jipya la chati iliyopita ya April 9 2017 ilikuwa ni wimbo wa Clean Bandit ft. Sean Paul & Anne-Marie – Rockabyehuku nafasi ya kwanza wiki akiendelea kupata mkali wa Bongo fleva Billnas kupitia wimbo wake wa Mazoea aliomshirikisha mkongwe Mwana FA.

EXCLUSIVE: ‘Kuna wanaosema Chibu Perfume bei yake kubwa’ Diamond Platnumz

Soma na hizi

Tupia Comments