AyoTV

Video zenye maneno ya Koffi Olomide kuhusu Diamond na Bella… Nay wa Mitego kuhusu Magufuli

on

Ni video mbili zenye news, ya kwanza ina msanii Koffi Olomide kutoka Congo DRC ambaye ametua Tanzania jana Dec 7 2015 kwa ajili ya show yenye selfie 16 kusherehekea miaka 16 ya Clouds Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo maswali mengine aliyoulizwa ni pamoja na kolabo ya Diamond na Christian Bella.

Hii video hapa chini ni ya Nay wa Mitego, msanii wa bongofleva ambaye alihusika kupiga kampeni za UKAWA kwenye uchaguzi mkuu, anachokiongea sasa hivi ni kuhusu Rais Magufuli na kasi yake.

Tupia Comments