Habari za Mastaa

Nyimbo 20 kali za wiki kwenye Top 20 ya CloudsFM February 26

on

Top 20 ya February 26 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby akitangaza kutokea Moshi ilikamilisha hesabu ya nyimbo 20 bora za wiki ambapo kama ulipitwa hii ni time yako ya kujua chati inasemaje time hii..

Wiki hii ngoma zilizoingia kwa mara ya kwanza kama ingizo jipya ni pamoja na ngoma ya Christian Bella ft Khaligraph – Ollah na ya kwake Kassim Mganga & Killimanjaro band – Somo wakati namba moja ameendelea Kumiliki Ditto na Moyo sukuma Damu kwa wiki ya 3 mfululizo.

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi, aongelea sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu

VIDEO: Alikiba alivyo-perform Club Taboo South Africa akisindikizwa na Vanessa

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments