Habari za Mastaa

Midundo 20 iliyong’aa kwenye CloudsFM Top 20 weekend ya March 12 2017

on

Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila Jumapili CloudsFM ikisimamiwa na mtangazaji Mami Baby kuanzia saa tano asubuhi, ikiwa na mkusanyiko wa midundo 20 mikubwa ya wiki.

Leo March 12 2017 kwenye chati ya top 20 zipo ngoma zilizopanda nakushuka huku ingizo jipya likiwa ni wimbo wa ‘Marry you’ wa kwake Diamond ft Neyo huku wimbo wake Nandy ‘one day’ ukikamata nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza ukiushusha wimbo wa Ditto ‘Moyo sukuma Damu’ uliokuwa umekaa kwenye nafasi hiyo kwa zaidi ya wiki 3.

 

VIDEO: Show aliyofanya Alikiba Minneapolis Marekani

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter INSTAGRAMYouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments