Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kumi kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE Benjamini Sitta asema kuwa baba yake alipoambiwa na daktari hakuna matumaini hakupaniki na maneno ya mwisho alisema 'that is life' pic.twitter.com/1jpOh1mBZC
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#NIPASHE COSTECH imebaini maeneo hatarishi kwa kuishi ktk kata 29 DSM ambayo yamekuwa yakisababisha adha kubwa hasa nyakati za mvua pic.twitter.com/bcEux131MN
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#NIPASHE Jumla ya askari wa jeshi la polisi 152 wamefukuzwa kazi mwaka huu kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni za jeshi hilo pic.twitter.com/fZ190xV9HI
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#NIPASHE Wizara ya afya imesema sekta ya afya inakabiliwa na upungufu wa watumishi wa kada mbalimbali kwa 40% pic.twitter.com/yC48uUgeMp
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#MWANANCHI Ugonjwa wa tezi dume, unaotajwa kuathiri wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 45 ndiyo umetajwa kusababisha kifo cha Mzee Sitta pic.twitter.com/zEH4j4eHpC
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#MWANANCHI Bunge aliloongoza Spika wa zamani Samuel Sitta 2005-2010 linakumbukwa kwa kupambana na kashfa nzito dhidi ya vigogo wa Serikali pic.twitter.com/5Cy7FK0G20
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#MWANANCHI Zitto asema hatasahau maneno ya Mzee Sitta, aliambiwa 'utakuwa kiongozi muhimu sana kwa nchi yetu, You have a bright future' pic.twitter.com/UsMSke287n
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#MTANZANIA Wasomi mbalimbali wamemuelezea Mzee Sitta kuwa atakumbukwa kwa mambo mengi ikiwamo kuongoza mgomo wakati akiwa mwanafunzi UDSM pic.twitter.com/cLSzKE2Km0
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#MAJIRA Madini ya Tanzanite ya mil 141 yakamatwa uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, DSM yakisafirishwa kwenda Afrika Kusini pic.twitter.com/bo48SPvzwX
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
#JamboLEO Sitta aacha maandiko yenye siri inayohusu matukio ya kitaifa, siasa zake pamoja na mawazo yake binafsi kuhusu mambo mbalimbali pic.twitter.com/oeDNATfxaB
— millardayo (@millardayo) November 8, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA TANZANIA KUTOKA AYO TV NA ALICE TUPA, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI