AyoTV

NEWS: Couple mpya town? Masogange na Rammy Galis.. Dudubaya kaongea kwanini alimuomba Shetta msamaha

on

AyoTV kila wiki itakua inakukutanisha na stori za mastaa mbalimbali wa Tanzania kukupa zile stori zote kubwa kutoka kwao ambapo time hii tunaye Dudubaya ambaye ameelezea kwanini alimuomba Shetta msamaha, tunayo video ya Rammy Galis alivyosindikizwa Airport na Masogange pamoja na stori nyingine.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments