Ni alhamisi ya January 14 2016, kila siku kuanzia saa 12 asubuhi nakusogezea tweets za stori kubwa kwenye magazeti ya Tanzania, hapa ninazo 10 zenye nukuu za uzito zaidi kutoka kwenye kurasa za Magazetini leo.
Polisi Dar wasaka majambazi benki, wafanyakazi wahojiwa wanavyoshirikiana nao #MagazetiJAN14 #HabariLEO >>>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Kamanda wa Polisi Dar, Simon SIRRO amesema watu waache tabia ya kutembea na pesa nyingi kutokana na wimbi la uhalifu #MagazetiJAN14 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Wanafunzi 252 wakwama kwenda shule baada ya nyumba za wazazi wao kubomolewa bonde la Mkwajuni Dar #GazetiJamboLEO >>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Mwanafunzi wa darasa la kwanza akutwa na bangi gramu 300 kwenye mkebe wa vifaa vya hisabati Kenya #GazetiTzDAIMA >>>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Mtu mmoja ashikiliwa na Jeshi la Polisi Ruvuma kwa tuhuma za kuuzia watu nyama ya mbwa #MagazetiJAN14 #NIPASHE >>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Mtu mmoja raia wa Kongo apandishwa kizimbani Dar kwa tuhuma za kushindwa kulipia gharama za hoteli #MTANZANIA JAN14>>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Mtoto wa miaka 8 aliwa na mamba Geita wakati akiosha vyombo pembeni ya ziwa Victoria #MagazetiJAN14 #MTANZANIA >>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Jeshi la Polisi Dar linamshikilia mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kuwafanyia dawa majambazi ili wasikamatwe #MagazetiJAN14 #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Wingu zito latanda mradi wa mabasi ya mwendokasi Dar, mamlaka ya TRA yashikilia mabasi 140 kwa kudaiwa ushuru #MagazetiJAN14#UHURU
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Nyaraka za Bajeti ya Nigeria zayeyuka, Wabunge upinzani wadai Serikali inahusika nazo #MagazetiJAN14#MWANANCHI >>https://t.co/20seN0BRkr
— millard ayo (@millardayo) January 14, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.