Michezo

Torreira wa Arsenal avunjika

on

Klabu ya Arsenal ya nchini England imeripotiwa kutoa taarifa za kuhusiana na mchezaji wao Lucas Torreira kuwa amevunjika kidundo cha mguu wa kulia.

Torreira ambaye haijawekwa wazi atakaa nje ya uwanja na kuuguza jeraha lake kwa muda gani, aliumia katika mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Portsmouth.

Soma na hizi

Tupia Comments