Burudani

Tory Lanez amejiondoa kwenye label ya Interscope Records

on

Ni headlines za mkali kutokea Marekani aitwae ToryLanez ambae kupitia ukurasa wake wa twitter amewajulisha mashabiki zake kuwa tayari ameshamaliza mkataba wake na label ya Interscope Records

Interscope Records ni label kubwa  ya muziki iliyopo nchini Marekani inayowasimamia wasanii wakubwa kazi zao ambayo ipo chini ya Universal Music Group.

 

Soma na hizi

Tupia Comments