AyoTV

Video ya goli la mechi ya Simba vs Toto Africans April 17 2016, Full Time 0-1

on

April 17 2016 klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya Toto Africans ya Mwanza katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao 25 wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walikubali kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Wazir Junior dakika ya 21. Huo ni mchezo wa pili mfululizo kwa Simba kufungwa baada ya kufungwa 2-1 na Coastal Union katika mchezo wa FA.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIIKOSA VIDEO YA MAGOLI YA SIMBA VS COASTAL UNION APRIL 17 2016, FULL TIME 1-2

Soma na hizi

Tupia Comments