Michezo

Tottenham Hotspurs imemfukuza kazi Pochettino

on

Club ya Tottenham Hotspurs leo hii imetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao mkuu Mauricio Pochettino aliyedumu na club hiyo kwa miaka mitano na nusu.

Katika miaka yake mitano aliyekuwa Tottenham Hotspurs misimu minne timu imefanikiwa kumaliza TOP 4 huku msimu uliopita 2018/2019 ilifanikiwa kufika fainali ya UEFA Champions League.

Pochettino amelazimika kuondolewa baada ya bodi na mwenyekiti wa club hiyo Daniel Levy kuona timu inahitaji mabadiliko kufuatia kuwa na msimu mbaya ikiwa imeshinda mechi 5 tu msimu huu.

Soma na hizi

Tupia Comments