AyoTV

VIDEO: ‘Hata Diamond aliimba nidanganye, Serikali mliangalie hili’ –Zitto Kabwe

on

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuzungumzia mpango wa serikali kujenga reli ya kati ambayo tayari ujenzi wa reli hiyo kati ya Dar es salaam hadi Morogoro imeanza ambapo Zitto amekosoa hatua hiyo kwakusema serikali ilitakiwa kuangalia vipaumbele vya maeneo ambayo shughuli za reli hiyo yatasaidia nchi kujipatia kipato kikubwa zaidi.

LIVE MAGAZETI: Bajeti wizara ya Afya yaibua vilio, Niko tayari kuondoka CUF – Prof Lipumba 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments