AyoTV

VIDEO: Mambo mawili ya Mbunge Zitto Kabwe Bungeni leo

on

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ni mmoja kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama bungeni leo February 9 2017 kwa ajili ya kuchangia maoni kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na utalii pamoja na kamati ya Kilimo, mifugo na maji.

Kati ya vitu alivyolalamikia ni kushindwa kukamilika kwa mradi wa maji Kigoma uliogharimu zaidi ya dola Milion 16 za Marekani.

BUNGENI: Maswali na majibu ya February 9 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments