Ad

Stori Kubwa

Anayedai kuibiwa mtoto aomba ulinzi, Wizi wakura walalamikiwa Jubilee

on

Hii ni Time yako mtu wangu unayependa kufuatilia habari kupitia Tv za Tanzania na Usiku wa leo April 28 2017 tayari nimekukusanyia habari ambazo zimeruka kwenye taarifa ya habari ya usiku ya Azam Two na nisingependa ikupite hata moja.

Habari kubwa usiku huu kwenye taarifa ya Habari ya Azam Two ni pamoja na ya Watu 9000 waliogushi vyeti watumbuliwa, Anayedaiwa kuibiwa mtoto aomba ulinzi, Usafi wa wana-CUF Buguruni wazuiwa na Wizi wa kura walalamikiwa Jubilee.

Bonyeza Play hapa chini kutazama Full Video

VIDEO: JPM akabidhiwa Ripoti ya Uhakiki wa Vyeti vya Watumishi wa Umma – Dodoma

VIDEO: Polisi DSM yataja watuhumiwa inaowashikilia vurugu za CUF

Soma na hizi

Tupia Comments