Michezo

AUDIO: Klabu ya ligi kuu Tanzania Bara iliyotangaza kutosajili mchezaji wa kigeni msimu ujao

on

Baada ya msimu wa ligi kuu Tanzania Bara 2015/2016 kumalizika timu nyingi zimeelekeza nguvu zake kwenye usajili. Taarifa iliyotoka ni kwamba klabu Majimaji FC ya Songea haitasajili mchezaji wa nje ya Tanzania, itasajili wachezaji wa Tanzania pekee yake, Meneja wa Majimaji FC, Godfrey Mvuala ameliweka wazi hilo…………

>>>’tarehe 20 tutaanza kusajili wachezaji ambao atawahitaji mwalimu, mwalimu amesema atawataka wachezaji wa kizalendo kwa maana wachezaji wa hapahapa Tanzania’

USISHANGAE UKIMUONA KAVUMBAGU WA AZAM FC AKIICHEZEA MBEYA CITY MSIMU UJAO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments