Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ukimya wa muda mrefu Mr Nice anakualika kuitazama “Tuheshimiane”

on

Wanasema kimya kingi mshindo wake ni mkubwa, baada ya kimya cha muda mrefu Mr Nice leo Febraury 3, 2018 anakualika kuitazama Video ya ngoma yake mpya “Tuheshimiane” akiwa amesimama mwenyewe. Baada ya kuitazama niambie mshindo wake ukoje kwa Ku-comment ili Mr Nice aone umepokeaje.

VIDEO: Bila Navykenzo Rosa Ree anapata ugumu kwenye Muziki?

Soma na hizi

Tupia Comments