Videos

VIDEO:The Ubunifu Space walivyoichambua ya Vanessa Mdee ‘Wet’

on

The Ubunifu Space ni kundi linaloundwa na watu sita kutoka nchini mbalimbali ambao ni Ian, Tonye, David, Bryan, Sade, Monigue, watu wao wamejipatia umaarufu katika mtandao wa Youtube baada ya kuchambua videos za wasanii mbalimbali zikiwemo za Africa hata za wa marekani.

Sasa basi time hii wameiona ya Vanessa Mdee aliyomshirikisha G Nako iitwayo Wet, unaweza ukabonyeza play kuona jinsi walivyoichambua video hiyo.

KAMA ULIMISS HII YA THE UBUNIFU SPACE WALIVYOICHAMBUA YA ALIKIBA BASI BONYEZA PLAY

Soma na hizi

Tupia Comments