Mix

VideoFUPI: Rais Trump asitisha kuongea na simu na kusifia tabasamu la Mwandishi

on

Rais Donald Trump alifanya jambo lililowashangaza wengi baada ya kusitisha simu aliyokuwa anaongea na kiongozi mpya wa Ireland Taoiseach Leo Varadkar na kusifia tabasamu la Mwandishi wa Habari.

Tukio hilo limetokea Jumanne wakati Trump anazungumza na kiongozi mpya wa Ireland Varadkar ambaye ni Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi hiyo ambaye anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja ambapo alimuita kwa ishara Reporter wa RTÉ Caitriona Perry ambaye alikuwa mmoja wa Wanahabari waliohukuwa ofisini humo na kusifia tabasamu lake.

Taoiseach Leo Varadkar mwenye umri wa miaka 38 ndiye Waziri Mkuu wa kwanza mwenye umri mdogo zaidi katika Historia ya Ireland na pia ni Waziri wa kwanza kwenye nchi hiyo kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

FULL VIDEO: MC Pilipili na Eric Omondi walivyochekesha DSM!!

Soma na hizi

Tupia Comments