Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TRA watoa ufafanuzi kuhusu kikao chao na wamiliki wa mtandao wa Facebook na Instagram
Share
Notification Show More
Latest News
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
August 12, 2022
TFF yatoa tamko ishu ya Yanga, Manara aibua lingine, “Uzembe wenu ila mkawa wepesi”
August 12, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > TRA watoa ufafanuzi kuhusu kikao chao na wamiliki wa mtandao wa Facebook na Instagram
Top Stories

TRA watoa ufafanuzi kuhusu kikao chao na wamiliki wa mtandao wa Facebook na Instagram

April 22, 2022
Share
2 Min Read
SHARE
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kwa Mkurugenzi wake wa huduma na elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo imetoa ufafanuzi baada ya TRA kukutana na Timu ya Wataalam wa Kampuni ya META inayomiliki mitandao ya Facebook, Instagram na WhatsApp ambapo kwa pamoja wamefanya mazungumzo ya awali kuhusu namna ya kutoza kodi katika huduma hizo nchini.

“Mkutano kati ya TRA na kampuni ya META ulikuwa ni mkutano wa awali wao kuweza kuelewa mazingira ya sheria za kodi za Tanzania na pia kuweza kutupitisha katika jinsi wanavyofanya biashara yao na wanavyotozwa kodi katika Nchi nyingine”

“Lengo ni kufikia mahali huko mbeleni ili kampuni hiyo ichangie kodi kwa pesa inayopata kutokana na biashara inayofanyika hapa nchini kupitia mitandao, Wananchi hawatakiwi kuwa na hofu yoyote kwasababu hii inahusu biashara inayofanyika na kampuni hiyo katika Nchi mbalimbali”

“Na hili sio jambo geni lipo dunia nzima, tumesikia Kenya tayari hilo lipo, Benin, Cameroon na Nchi za Ulaya ambako kampuni hizo kubwa za mitandao duniani zinachangia kodi kwa kufuata sheria za nchi husika na taratibu za kimataifa“- Kayombo

WAMILIKI WA MTANDAO WA FACEBOOK NA INSTAGRAM WAONGEA NA TRA, “NAMNA KUTOZA KODI KATIKA HUDUMA HIZO”

RAIS SAMIA AKUTANA BABA YAKE RIHANNA LOS ANGELES MAREKANI

You Might Also Like

Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Edwin TZA April 22, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Samia alivyopewa shangwe nchini Marekani, ‘Wazungu waomba kupiga nae picha’ (video+)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo April 23, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
Entertainment August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
Entertainment August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
Mix August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
Top Stories August 12, 2022

You Might also Like

Top Stories

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

August 12, 2022
Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?